0 Comment
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Simba, Steven Barker, amesema bado kuna matumaini kwa kikosi chake katika Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya maumivu ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 kwenye mchezo uliopita dhidi ya Esperance ya Tunisia mwishoni mwa wiki. Barker alisema Simba bado ina michezo miwili ya hatua ya makundi, ambayo itatoa fursa... Read More


