0 Comment
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu wa Tanzania Kanda ya Songea James Karayemaha, akikagua gwaride maalum lililoandaliwa wakati wa maadhimisho ya wiki ya sheria nchini iliyofanyika katika viwanja vya mahakama kuu mjini Songea. Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea James Karayemaha kwa mbele,akitoka kukagua gwaride maalum wakati wa maadhimisho ya wiki ya sheria nchini Read More


