0 Comment
SIMBA SC imeshindwa kufanikisha dhamira yao ya kupata alama tatu nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Esperance de Tunis katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba ilianza mchezo kwa kasi na nidhamu kubwa, hali iliyowawezesha kupata bao la kwanza dakika... Read More


