0 Comment
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe amekutana kwa mazungumzo na Wawakilishi wa Heshima wa Tanzania katika maeneo ya Nepal, Mumbai, Chennai na Kolkata ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini India. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika jijini New Delhi hivi karibuni wamejadili umuhimu wa wawakilishi Read More

