0 Comment
YANGA imemaliza utata baada ya kumuondoa kiungo Moussa Bala Conte akimpisha winga mpya wa timu hiyo, Buba Jammeh aliyekamilisha usajili wake saa chache kabla ya dirisha dogo kufungwa Januari 30, 2026. Usajili wa Buba umefanya Yanga kumtoa kwa mkopo Conte kwenda Raja Casablanca ya Morocco inayofundishwa na kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids. Winga... Read More


