0 Comment
BAADA ya uongozi wa Klabu ya Yanga kufunga dirisha la usajili kwa kumtambulisha winga wa kulia, Buba Jammeh, mabingwa hao wa Tanzania wameendelea kuonyesha dhamira yao ya dhati ya kuimarisha kikosi. Buba amejiunga na Yanga akitokea Interclube ya Angola, usajili unaoonekana kuongeza nguvu na ushindani ndani ya timu. Yanga inaendelea kuthibitisha kuwa ni moja ya... Read More


