0 Comment
KLABU ya Al Ahly ya Misri imetangaza rasmi kikosi chake kitakachocheza dhidi ya Yanga ya Tanzania katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi, unaotarajiwa kuchezwa kesho Januari 23 nchini humo. Orodha hiyo imetolewa na benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Marcel Koller, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha wanapata matokeo chanya.... Read More



