0 Comment
KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo Mohammed Damaro kuwa mchezaji wake mpya, akitia saini mkataba utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwisho wa msimu wa 2025/2026. Usajili wa Damaro umefanyika kupitia makubaliano ya kubadilishana wachezaji kati ya Yanga na Singida Black Stars, ambapo Damaro ametua Jangwani huku beki Balla Conte akielekea kuitumikia Singida Black Stars.... Read More



