Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa madarasa katika Shule ya Sekondari Bamba Kilifi katika Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilida Burian. Waziri wa Nchi, Ofisi ya... Read More