Gavana wa zamani wa chama cha Republican cha California, Arnold Schwarzenegger, 77, ametangaza kumuunga mkono Mgombea wa Urais wa Chama cha Democratic, Kamala Harris katika uchaguzi wa wiki ijayo. Schwarzenegger ameandika waraka mrefu kupitia mtandao wa X zamani Twitter akisema kuwa anachukia siasa na amejifunza mengi wakati akihudumu katika majukwaa ya kisiasa kama Gavana wa... Read More