Dar es Salaam, 15th Septemba 2024 Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Klabu ya Rotary ya Vancouver, chini ya utaratibu wa Rotary Global Grants, imepiga hatua kubwa katika kuimarisha miundombinu ya elimu jijini Dar es Salaam baada ya kutoa msaada wa madawati mengine 138 kwa shule ya msingi Kunduchi, iliyopo Wilaya... Read More