Wizara ya Afya ya Sudan ilisema Jumatatu kwamba nchi hiyo imerikodi wagonjwa 9,533 wa kipindupindu, pamoja na vifo 315. Katika taarifa yake wizara hiyo ilisema kwamba kiwango cha maambukizi kinachoongezeka kwenye mlipuko wa hivi karibuni kilifikia watu 9,533 hadi juzi Jumapili. Waziri wa Afya wa Sudan Haitham Mohamed Ibrahim alitangaza rasmi mlipuko wa kipindupindu nchini... Read More