Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji,Mtandao wa jinsia Tanzania TGNP umewapatia mafunzo watia nia ambao tayari wamepitishwa na vyama vyao kwa lengo la kuongeza nafasi za wanawake katika uongozi. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 30,2024 Jijini Dar es Salaam katika semina za jinsia na Maendeleo zinazofanyika kila Jumatano,Afisa TGNP-Mtandao Idara ya mafunzo Anna Sangai... Read More