Na Mwandishi wetu, Makete. Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge wilyani Makete mkoani Njombe vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Willy Mponzi alisema... Read More