Serikali inafanya kila iwezavyo uhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wanapata huduma bora za afya hata pale ambapo watakuwa hawana fedha za kulipia. Read More
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Bw. Sospeter Mtwale amesema, Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeandaa mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wataalamu wa uhifadhi wa mazingira kutoka katika baadhi ya mikoa na mamlaka za serikali za mitaa ambazo zimeanza utekelezaji wa miradi itokanayo na biashara ya kaboni, ili kuziwezesha... Read More
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt James Andilile (aliyesimama) akizungumza na watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira za Wilaya na Mijimdogo. Kulia ni Mkurugenzi wa Majisafi na Usafi wa Mazingira, Mha. Exaudi Fatael Maro na kulia ni Mha. Jovitus Kichum kutoka Wizara ya Maji. Na.Mwandishi Wetu-DODOMA MAMLAKA za Maji na... Read More
Na Jane Edward, Arusha Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdala Ulega ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania kushirikiana na taasisi za kiserikali kuangalia uwezekano wa kupandikiza samaki katika bwawa la Mwalimu Julius Nyerere.Ulega ameyasema hayo jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa tatu wa Sayansi na Uvuvi viumbe maji amesema ZAFIRI na TAFIRI kufanya... Read More
Serikali ya Tanzania imeikumbusha Jumuiya ya Kimataifa hususan nchi zilizoendelea kutekeleza jukumu lake na kuwezesha upatikanaji wa fedha za utekelezaji wa Mkakati wa Dunia wa kuhifadhi Bioanuai kuendana na ibara ya 20 na 21 ya Mkataba wa Bioanui. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema hayo... Read More
Na. Zillipa Joseph Hifadhi ya taifa ya Katavi imeadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1974 . Maadhimisho hayo yaliambatana na uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa nyumba 12 za watumishi wa hiyo kwa ufadhili wa mradi wa KAMACO. Akisoma taarifa Mratibu wa mradi wa KAMACO bwana Msigwa amesema mradi huo wa nyumba utagharimu kiasi... Read More
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akiingia katika Hoteli ya The MORA ilioko Matemwe kwa ajili ya Uzinduzi wa Tunzo za Trace Awads Summit katika hafla itakayofanyika Tarehe 24 hadi 25 February 2025 katika Hoteli hio ilioko Mkoa wa Kaskazini Unguja. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Uzinduzi wa Tunzo... Read More
*Tanzania Afrika Kusini kushirikiana kuimarisha Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Waziri wa Elimu ya Juu Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Afrika Kusini Mhe. Dkt. Blade Nzimande ambapo wamejadili namna ya kuimarisha uhusiano katika nyanja za Sayansi, Teknolojia na Ubunifu. Waziri Mkenda amemueleza kuwa Tanzania inajivunia... Read More
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Profesa Othman Chande Othman amesema Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya viwango ambapo inajitaidi kuandaa viwango katika kila sekta ambazo zinasaidia katika uchumi na biashara ili viwanda viweze kuzalisha bidhaa zenye viwango Profesa Othman Chande alitoa kauli hiyo leo Oktoba 30,2024 jijini Dar... Read More