Baadhi ya walimu wakipata huduma katika dawati la maafisa Utumishi katika Kliniki ya Samia ya kutatua changamoto za Walimu iliyofanyika Mkoa wa Singida. Walimu wakiwa katika Kliniki ya kutatua changamoto yao iliyoratibiwa na CWT kwa kushirikiana na Serikali. ……….. Na Mwandishi Wetu Singida Zaidi ya walimu 1500 wa Mkoa wa Singida wamefikiwa na Kliniki ya... Read More









