DAR ES SALAAM: TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 30, 2026, imekutana na viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali. Mkutano huo wa Tume na viongozi hao umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika uliopo katika ofisi za Benki Kuu ya Tanzania Read More










