Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Walimu na wadau wa lugha ya Kiswahili kuona fursa za kufundisha lugha hiyo nje ya nchi kwa kuwa tayari Serikali inaendelea kuweka mazingira mazuri ya nafasi hizo nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo Septemba 18, 2024 wakati akifungua mafunzo ya Matumizi Sanifu... Read More










