CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kimeendelea kutekeleza mradi wao ujenzi wa Kampasi mpya inayojengwa Bukoba mkoani Kagera. Ujenzi huo unajumuisha madarasa,kumbi za mihadhara, karakana, ofisi za walimu pamoja na mabweni kwa ajili ya wanafunzi. Akizungumza na Waandishi wa habari Septemba 18,2024 katika eneo... Read More










