Ili nchi iweze kuendelea ni lazima vijana na wanawake ambao ndio kundi kubwa la watu hapa nchini wawe viongozi na kwamba kukosekana kwa viongozi katoka kwenye kundi hilo ambalo idadi yake ni kubwa kwa mujibu wa ripoti ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kutafanya kuendelea kubaki ilipo bila kupiga hatua na hatimaye... Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi madhubuti anayeweka maslahi ya Tanzania mbele. Akizungumza kwenye hafla ya kufunga Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, hafla ambayo pia iliadhimisha miaka 60 ya Jeshi hilo, Rais Samia aliwapongeza askari wa polisi kwa kazi yao kubwa ya kulinda amani na utulivu wa... Read More
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameongoza kikao cha wadau wa Sekta ya Maji Mkoa wa Ruvuma wilayani Songea leo tarehe 17 Septemba 2024. Kikao hicho pia kimeudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Songea na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Damas Ndumbaro na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Mwajuma Waziri. Lengo la... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi hilo uliofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri... Read More
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi wakati wa Kongamano la Tatu (3) la Kitaifa la Wiki ya Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza liliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege jijini Zanzibar... Read More
NA EMMANUEL MBATILO, BUKOBA CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kimeendelea kutekeleza mradi wao ujenzi wa Kampasi mpya inayojengwa Bukoba mkoani Kagera. Ujenzi huo unajumuisha madarasa, kumbi za mihadhara, karakana, ofisi za walimu pamoja na mabweni kwa ajili ya wanafunzi. Akizungumza na Waandishi wa... Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara – Sengerema – Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja lote liweze kuunganishwa. Ameeleza hayo leo tarehe 17... Read More
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi madhubuti anayeweka maslahi ya Tanzania mbele. Akizungumza kwenye hafla ya kufunga Mkutano wa Mwaka wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi, hafla ambayo pia iliadhimisha miaka 60 ya Jeshi hilo, Rais Samia aliwapongeza askari wa polisi kwa kazi yao kubwa ya kulinda amani na utulivu... Read More