KIPIGO cha mabao 6-0 dhidi ya Yanga ugenini, bado kinaendelea kulitesa benchi la ufundi la Mashujaa FC baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga kufichua kwamba walifanya makosa ambayo bado yanamsumbua kuyatatua kabla ya kukutana na mpinzani mwingine. Januari 19, 2026, timu hiyo kutoka Kigoma iliambulia kipigo cha mabao 6-0 kutoka kwa Yanga... Read More





