Mwaka mmoja baada ya kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO), ametangaza kujiondoa katika nafasi hiyo na kumteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti mpya. Akitangaza uamuzi huo leo Septemba 4, 2025, Dewji amesema amebanwa na majukumu binafsi na mara nyingi kuwa mbali na shughuli za kila siku... Read More