MADRID: MAHAKAMA jijini Barcelona imemhukumu Mwanamume mmoja kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumuonesha vitendo vya kibaguzi kwa mshambuliaji wa Athletic Bilbao Inaki Williams wakati wa mechi kwenye uwanja wa Cornella-El Prat mjini Espanyol mwaka 2020. Tukio hilo, ambalo waendesha mashtaka walisema mwanamume huyo aliiga kelele na ishara za tumbili zilizomlenga Williams, liliashiria kesi ya... Read More