0 Comment
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC Yanga SC wanatarajiwa kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mualiko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mchezo huo unatarajiwa kuwa dhidi ya kikosi cha Rayon Sports. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema: “Hivi karibuni tulizindua kampeni ya Tofali la ubingwa. Hii... Read More







