0 Comment
LONDON: Klabu ya West Ham inayoshiriki ligi kuu ya Egland imetangaza kuachana na Mshambuliaji wake raia wa Jamaica Michail Antonio baada ya mkataba wake kutoongezwa kufustis kutamatika mwishoni mwa msimu uliopita. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 alihusika katika ajali mbaya ya barabarani mwezi Desemba mwaka jana wakati gari lake lilipogonga mti alipokuwa akirejea... Read More







