0 Comment
LANCASHIRE: Burnley wamekamilisha usajili wa kiungo wa kati wa Ufaransa Lesley Ugochukwu kutoka Chelsea kwa ada ya zaidi ya Pauni milioni 20 huku Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 akisaini mkataba wa miaka mitano kuvinjari Turf Moor. Ada hiyo ya usajili imetajwa kukaribiana na ada ya Pauni milioni 23.2 ambayo Chelsea walilipa kumsajili Ugochukwu... Read More





