0 Comment
DAR ES SALAAM: TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajia kushuka dimbani leo kusaka ushindi wa pili katika mchezo dhidi ya Mauritania kundi B, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo huo utachezwa saa 2:00 usiku wa saa za Afrika Mashariki. Tayari Tanzania ilishinda mchezo wa kwanza wa ufunguzi dhidi ya Burkina Faso wa mabao... Read More




