0 Comment
MSANII Chidi Benz aliipeperusha bendera ya Rap ya Bongo kwa ustadi mkubwa. Alibadilisha sura ya muziki huo, akatoa mwelekeo mpya kwa vijana waliomfuata wengi wao wakiwa nyota wakubwa leo hii. Lakini safari haikuwa nyepesi. Rashid Abdalla ‘Chidi Benz’ alitoweka kwenye ramani ya muziki kwa muda mrefu, akapotea machoni pa mashabiki wake. Hata hivyo, alibaki mioyoni... Read More

