0 Comment
MICHIGAN: KILA usiku katika ziara yake ya Lifetimes, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 40 huwaalika mashabiki jukwaani kumsaidia kutumbuiza wimbo wa 2011 ‘The One That Got Away’ lakini msisimko ulikuwa mwingi kwa shabiki mmoja, aitwaye McKenna, ambaye alizimia wakati Katy akijiandaa kuanzisha wimbo huo huko Detroit. Kulingana na Billboard, Katy alimwita McKenna na rafiki... Read More




