0 Comment
NEW JERSEY: NYOTA wa Hollywood Gary Busey amekiri kosa la kuwagusa isivyofaa wanawake watatu kwenye kongamano huko New Jersey mnamo mwaka 2022. Mwigizaji huyo alikuwa ameshutumiwa kwa kuwagusa isivyofaa angalau wanawake watatu katika Kongamano la Monster-Mania katika Hoteli ya Doubletree huko Cherry Hill, mji wa South Jersey na vitongoji vya Philadelphia. Muigizaji Gary Busey amekiri... Read More








