0 Comment
MADRID: MABINGWA kihistoria wa ligi ya mabingwa Ulaya Real Madrid wametangaza kuwa mshambuliaji wao Kylian Mbappe sasa atavaa jezi namba 10 iliyokuwa ikivaliwa na ‘Legend’ wa klabu hiyo Luka Modric aliyetimkia AC Milan. Mbappe anafuata nyayo za wababe wa Real Madrid, Ferenc Puskas, Clarence Seedorf na Luis Figo ambao pia walivaa jezi namba 10. Mbappe... Read More








