0 Comment
Afisa habari wa timu ya Azam fc Zaka zakazi anaema Simba sc hawana pesa ya kumsajili feitoto. ”Kipindi hiki wachambuzi wengi wanazusha stori ili wapate comments nyingi na engagenment ndio wakati wao ila hakuna wanachojua chochote kuhusu mchezaji wetu feitoto, Hakuna timu yeyete tanzania itaweza kumchukua hizo hela hawana, kwahiyo hakuna chochote, Kama wanapata... Read More






