0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 3, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon, ameishukuru Serikali kwa kuipatia Halmashauri ya Kibaha Mji kiasi cha sh. bilioni 8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa la maduka makubwa (shopping mall), ambalo linatarajiwa kuzinduliwa rasmi Disemba 7 mwaka huu. Akizungumza wakati wa kikao cha ushauri cha... Read More