0 Comment
Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara John Mongella amesema ushindi wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita hivi karibuni ni kwa sababu chama hicho kimewatumia vijana kwenda kuongea na vijana wenzao namna ambavyo serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa awamu ya... Read More