0 Comment
Jeshi la Ulinzi la Israel lilisema Jumatatu kuwa ndege zake za kivita zililenga karibu tageti 200 za kigaidi ya Hezbollah katika operesheni yake inayoendelea dhidi ya kundi linaloungwa mkono na Iran kusini mwa Lebanon. Malengo hayo yalijumuisha ” vituo vya kurusha makombora ya kukinga vifaru, miundombinu ya kigaidi na vifaa vya kuhifadhia silaha vilivyo na... Read More