0 Comment
Β Β Onesho la Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024 limehitimishwa rasmi leo jijini Dar es Salaam, likiteka hisia za wengi kwa mafanikio makubwa ya kuingiza takribani wanunuzi 120 wa kimataifa wa bidhaa za utalii. Katika hafla ya kufunga onesho hilo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi... Read More