0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Mabwawa ya Kutibu Majitaka uliopo katika eneo la Uchama Wilaya ya Nzega wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 08 Oktoba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango... Read More