0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Oktoba 19, 2024 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge, ameeleza zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura mkoani humo linaendelea vizuri, zoezi ambalo lilianza rasmi oktoba 11 na litakamilika Oktoba 20 mwaka huu. Aidha amewataka ,wananchi kutumia siku moja iliyosalia kujitokeza kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya msingi... Read More