0 Comment
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. Mil. 35 wa msimu wa tisa wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2024), kiasi kinachoifanya benki hiyo kufikisha zaidi ya Sh. Mil. 245 za udhamini katika kipindi chote cha michuano hiyo. NMB CDF Trophy ni michuano maalum, ya wazi... Read More