0 Comment
Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es salaam siku ya Jumanne Disemba 2 mwaka huu ambapo pia atatumia mkutano huo kulihitubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Read More










