Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta kwa matumizi mbalimbali kama vile dawa na manukato, kilichopo Cileungsi, Jakarta, Indonesia. Akiwa katika kiwanda hicho, Rais Dk. Mwinyi amejionea hatua mbalimbali za kusarifu majani... Read More
Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akiwasilisha Mpango wa Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Masuala ya Nishati ya Nyuklia (US-Africa Nuclear Energy Summit) Read More