Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan leo hii amekuwa Mgeni Rasmi Katika Kilele cha Tamasha la Utamaduni Uwanja wa Majimaji Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 23 Septemba, 2024, ambapo kati ya mengi alitembelea kaburi la Mashujaa wa Vita vya Maji Maji, na baadae kuhutubia umati wa wana Ruvuma waliojitokeza kumlaki.

09/23/2024
0 Comment
97 Views
Rais Samia Suluhu Hassan Katika Kilele cha Tamasha la Utamaduni Ruvuma .
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Katika Kilele cha Tamasha la Utamaduni Ruvuma 23 Septemba, 2024.