RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika leo 5-12-2024 na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir .(Picha na Ikulu)
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wahitimu wa ZU katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo cha Zanzibar University,yaliyofanyika leo 5-12-2024, katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.(Picha na Ikulu)
WAHITIMU wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukia Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) na Chancellor, Zanzibar University. Mhandasi Dr.Abdulqadir Othman,wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu)
MTOTO Abdulrazak Ali Haji akiwa na uwa lake katika viwanja vya Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar Universit ) akisubiri kumkabidhi Kaka yake Rashid Suleiman Bakar, baada ya kutunukiwa Shahada yake katika Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya chuo Tunguu Wilaya ya Kati Ungja.(Picha na Ikulu)