Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka Meneja wa Tafiti, Mafunzo na Ubunifu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Dkt. Jaha Mvula wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Kikao Kazi cha Tano cha Serikali Mtandao kinachofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 11 Februari 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Bw. Mululi Mahendeka, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) mara baada ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Tano cha Serikali Mtandao kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) leo tarehe 11 Februari 2025.