Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo February 25, 2025 amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Tanga iliyopo Wilaya ya Kilindi ikiwa ni sehemu ya Ziara ya kikazi Mkoani humo.
The post Rais Samia azindua shule ya sekondari ya wasichana mkoa wa Tanga first appeared on Millard Ayo.