Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa vibanda vya biashara vinavyojengwa na halmashauri ya wilaya ya Igunga katika eneo la soko jipya la Igunga mkoani Tabora, Machi 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)