Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa NACTVET Dkt. Jofrey Oleke kuhusiana na mpango wa NACTVET kutoa ithibati kwa vyuo vya ufundi stadi nchini ili kuwezesha vyuo kurasimisha ujuzi wa mafundi kupitia programu ya Utambuzi wa Ujuzi Uliopatikana Nje ya Mfumo Rasmi wa Mafunzo (RPL) wakati wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati alipotembelea Banda la NACTVET kwenye kilele cha kongamano la Maadhimsho ya miaka 30 ya VETA linalofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi NACTVET, Bernadetta Ndunguru, akizungumza na wadau waliotembelea banda la NACTVET kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Machi, 202
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi NACTVET Bernadetta Ndunguru akiwa katika picha ya pamoja wakati alipotembelea banda la NACTVET kwenye maadhimisho ya miaka 30 ,jijini Dar es Salaam