Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El
Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na
Mwenyekiti
wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan
mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kwenye Baraza la
Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama
Shamim Khan mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kwenye Baraza
la Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Sheikh
Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akizungumza kwenye
Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi,
2025.
Viongozi
mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid El
Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.