Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Youichi Mikami alipokutana naye Ofisi kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma Aprili 26, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Youichi Mikami alipokutana naye Ofisi kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma Aprili 26, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).