Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Adam Mbugi (kushoto) akimuelezea jambo Meneja wa Mamlaka Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Eliamini Mkenga (katikati) na mwananchi aliyetembelea banda la Mamlaka kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yaliyofanyika Singida.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi. Maadhimisho hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Mandewa mkoani Singida 2025.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego (picha ya juu) na Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda (picha ya chini) wakizungumza na viongozi, washiriki kutoka taasisi na mashirika mbalimbali pamoja na wananchi katika maadhimisho yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mandewa mkoani Singida 30 Aprili, 2025.
Wageni walioshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi wakiwa katika siku ya kilele cha Maadhimisho hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Mandewa Mkoani Singida Aprili 30, 2025
Watumishi wa Mamlaka, Saile Kurata (picha ya juu kulia) na Veronica Chiligati (picha ya chini kushoto) wakitoa elimu kwa wananchi kuhusu majukumu mbalimbali ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
05/01/2025
0 Comment
1 Views
GCLA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI
by 4dmin
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Adam Mbugi (kushoto) akimuelezea jambo Meneja wa Mamlaka Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Eliamini Mkenga (katikati) na mwananchi aliyetembelea banda la Mamlaka kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yaliyofanyika Singida.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu –... Read More